Usilipe pesa yoyote kabla ya kuona mali na kuthibitisha umiliki.

Wataalamu waliothibitishwa, kwa kila hatua

Omba bei (quote), linganisha na upime huduma, yote mahali pamoja.

Mpima Ardhi (Mfano) Imethibitishwa

Wapima ardhi · Dar es Salaam

Upimaji wa viwanja, uhakiki wa mipaka na ramani za upimaji.

Wakili wa Ardhi (Mfano) Imethibitishwa

Mawakili · Dar es Salaam

Mikataba ya mauziano, uhamisho wa umiliki na official search.

Mthamini (Mfano) Imethibitishwa

Wathamini · Arusha

Ripoti za thamani kwa benki na mauziano.

Usafiri wa Mizigo (Mfano)

Usafiri wa mizigo · Dar es Salaam

Kuhamisha vitu vya nyumbani na ofisi kwa usalama.

Huduma ya Usafi (Mfano)

Usafi · Dar es Salaam

Usafi kabla na baada ya kuhamia.

Fundi Ujenzi (Mfano)

Mafundi · Pwani

Ujenzi, ukarabati na uchoraji.

Omba huduma

Tutakuunganisha na wataalamu 2–3 waliothibitishwa.

Tuandikie