Usilipe pesa yoyote kabla ya kuona mali na kuthibitisha umiliki.

Jinsi ya kununua kiwanja au nyumba

  1. Kagua hati: hati miliki, CCRO au offer letter.
  2. Official search kwenye Ofisi ya Ardhi kuthibitisha umiliki na madeni.
  3. Mkataba wa mauziano uandaliwe na wakili.
  4. Malipo salama: hifadhi kwa deposit kupitia Kenosis.
  5. Uhamisho wa umiliki: lipa ushuru na ada za usajili.
  6. Pokea hati kwa jina lako.

Ilisasishwa 27 Okt 2026

Tuandikie