Nyumba ya vyumba 3, parking na uzio – Mbezi
Mbezi, Ubungo, Dar es Salaam
- 3 vyumba
- 2 bafu
- 180 sqm
- Miezi 6 mbele
Kuanzia chumba cha mwanafunzi hadi shamba la ekari mia, kila kitu kiko hapa.
Mbezi, Ubungo, Dar es Salaam
Mikocheni, Kinondoni, Dar es Salaam
Kariakoo, Ilala, Dar es Salaam
Kawe, Kinondoni, Dar es Salaam
Kigamboni, Kigamboni, Dar es Salaam
Msasani, Kinondoni, Dar es Salaam
Shangani, Mjini, Mjini Magharibi
Sinza, Ubungo, Dar es Salaam
Hakuna tangazo maalum kwenye kundi hili kwa sasa.
Tazama mali kwa video moja kwa moja, bei kwa USD/GBP/EUR, mawakala waliothibitishwa na uhakiki wa hati kabla ya kulipa.
Hali ya DiasporaKodi ya mbele, amana, udalali, ada za uhamisho: kikokotoo kinakuonyesha jumla utakayohitaji, bila mshangao.
Haya ni makadirio tu. Viwango vya ushuru na ada vinawekwa na msimamizi; hakiki na TRA, Ofisi ya Ardhi au wakili wako.
Chagua eneo hadi ngazi ya mtaa, bajeti na aina ya nyumba.
Kodi ya mbele, amana na udalali vinaonekana kabla hujaondoka nyumbani.
Chat, simu au WhatsApp. Chagua siku na saa ya kwenda kuona mali.
Angalia maji, umeme, usalama na ulinganishe na ripoti ya ukaguzi.
Tumia kiolezo cha mkataba wa pango na pitieni pamoja kwa umakini.
Lipa kwa M-Pesa, Mixx, Airtel Money au kadi, kisha pokea risiti yako.
Hati miliki, CCRO au offer letter: angalia aina ya hati na hali yake.
Thibitisha umiliki na madeni yoyote kwenye Ofisi ya Ardhi.
Mkataba wa mauziano uandaliwe na kushuhudiwa na wakili.
Hifadhi kwa deposit kupitia Kenosis, kisha lipa kwa awamu zilizokubaliwa.
Lipa ushuru na ada za usajili, kisha wasilisha nyaraka za uhamisho.
Hati inakuwa kwa jina lako. Muamala unafungwa kwenye tracker.
Kila booking, ombi au ununuzi una timeline yake. Wewe na upande wa pili mnaona hatua zilezile, kwa tarehe na saa.
Unapata ujumbe kila hatua inapokamilika, hata kama huna intaneti.
Shikilia mali kwa siku chache huku ukipanga kuona au kulipa.
Ofa, risiti, mkataba na ripoti ya ukaguzi katika PDF.
Kila tangazo linapita kwa mhakiki kabla ya kuonekana. Beji zinakuonyesha kiwango cha uthibitisho.
Orodha ya ukaguzi ya muundo, maji, umeme, hati na barabara, pamoja na picha zenye GPS na tarehe.
Malipo ya BnB na deposit yanashikiliwa hadi huduma ifanyike. Ukithibitika kuwa tangazo ni feki, unarudishiwa pesa.
"Dalali feki", "imeshauzwa" au "picha si halisi": ripoti, nasi tutachukua hatua haraka.
Ofisi na wawakilishi rasmi katika mikoa na wilaya kwa msaada wa ana kwa ana.
Mbezi, Ubungo, Dar es Salaam
Mikocheni, Kinondoni, Dar es Salaam
Kimara, Ubungo, Dar es Salaam
Kariakoo, Ilala, Dar es Salaam
Hakuna tangazo maalum kwenye kundi hili kwa sasa.
Niliona gharama zote kabla ya kwenda kuona chumba. Hakuna mshangao wa ada za dalali.
Ripoti ya ukaguzi na hati iliyothibitishwa ilinipa amani kununua kiwanja nikiwa mbali.
Nimepata wageni wa BnB kila wiki na malipo yanaingia kwa M-Pesa bila usumbufu.
Omba bei (quote), linganisha na upime huduma, yote mahali pamoja.
Nunua au panga mali nyumbani ukiwa mbali: bei kwa USD/GBP/EUR, video tour moja kwa moja, mawakala waliothibitishwa na uhakiki wa hati.
Hali ya DiasporaWeka matangazo, pokea wateja na fuatilia leads. Kampuni zinaweza kusimamia timu nzima na kupakia matangazo mengi kwa pamoja.
Ni namba ya kipekee ya kila tangazo, kwa mfano KNS-DSM-UBU-000002. Itaje kwenye simu au WhatsApp ili tujue unaongelea mali gani.
Ndiyo, kila mwenye mali anaweza kuweka matangazo kadhaa bure. Mawakala na kampuni wana vifurushi vyenye matangazo zaidi na matangazo maalum.
Kuna ngazi 4: simu, kitambulisho (NIDA), hati za umiliki, na ukaguzi wa eneo. Bonyeza beji kuona kiwango.
Kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa au kadi. Kwa sasa unalipa kwa Lipa Namba kisha unaweka namba ya muamala; tunathibitisha ndani ya muda mfupi.
Inategemea mwenye nyumba (kawaida miezi 3, 6 au 12). Kila tangazo linaonyesha idadi na jumla utakayohitaji.
Ndiyo, kulingana na sera ya mwenyeji (Flexible, Moderate au Strict) iliyoandikwa kwenye tangazo.